H_art the Band
Rosella
Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
Afraid, holding her breathe
Maybe he might hear her
See, he doesn't feel the same way
Maybe, H_Art the Band, Lady Jay Dee

[Verse 1]
Nikaja kupenda na moyo wangu wote
Binti huyu aliyenifanya nimuote
Usiku na mchana nikawa nikama nimepagawa
Sionekani popote
Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito
Ilimradi niwe naye lakini sasa ninapotazama
Naona kwamba niliachwa upweke

Nilikuwa na wingi wa mahaba
Nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa
Nilikuwa na wingi wa mahaba
Nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza
Kamba nikakaza, lakini huonekani mpaka sasa

[Chorus]
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
[Verse 2]
Ni ukweli niliamua kuondoka
Nikidhani nitapendwa niendako
Ooh hakuna
Oh mi nilidhani nitakuta tofauti
Hio yote mpaka sasa sijaona
Moyo waniuma nikikumbuka
Mambo mengi we ulinikosea

Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa
Najiuliza je ni kweli umebadilika
Na maumivu mi nayarudia
Masikini nashindwa amua
Ooh nashindwaaa

[Chorus]
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
[Verse 3]
Yani imekua siku mingi sana hatujazungumza
SMS zangu hurudishi, please call me zangu hunijibu
Simu hushiki
Na najua haiwezi kuwa ni simu ulipoteza
Juu social media nimeona selfie zako
Na ile top flani kali nilikubuyia ya dashiki
Kweli ni kukumiss nimekumiss tena sana
Na najua umenimiss pia unanilenga tu juu tulikosana
Ego yako iko juu, ulikuaga dem wa maringo
Lakini siteti, nilikupendaga tu ivo ivo
Na ni tangu unitoke stress iko juu tu sana
Sura imejaza mawrinkles, kila time
Najipata tu nimekasirikia vitu simple simple
Hata jokes na pimples nacatch hawa wakishow tu madimples
Yani kosa walisema si kosa, kosa nikurudia kosa
Na najua unajua ulikosa but huwezi kubali
Umekosea, nishakuzoea, ni sawa tu
Nishakusamehea unaact selfish
But kuishi bila we, machozi siwezi daily
Kukula kwa hoteli, si unajua mi ni mlazy
Malkia, smile tamu crescent shape ya mwezi
Sipendi tukikosana
Napenda tukichora saba kwa saba love heart
Si unajua nakupenda tu kwa sana pamoja
Tembea Dar, Kenya, Moshi, Arusha
Tunajirusha rusha, spending karibu dolce, gabana mwanaume si unajua ni kukazana, shopping
Maspaghetti, crop 9months later baby shower
Na pamper nimeshika rada, latha
First born anakaribisha brother
Twende nyumbani nikuintroduce kwa mother
Mrasta ameshapata the other
Rudi Nyumbani
[Chorus]
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah
Rosella, mi najiuliza
Rosella, Je umebadilika
Rosella, nashindwa kuamua aaah