Nadia Mukami
African Lover
[Verse 1]
Is it true? Umenichagua Mimi
Kuna fununu, unamuoa yuleee... ah

Lemme play the guitar, tubanjuke
Tuzunguke mitaa, tuwaalike
Harusi itafana, wabambike waleee

Isukuti love like Mayonde
No stress baby usikonde
Forever love nikupende
Chini na juu pia upande

[Bridge]
Isiwe scandals kiWilly Pozee
Roho inakuuma njoo nikupoze
Tupendane ujanani pia uzee

All my love I surrender
Myself to you me I render
Eka muziki Rhumba na Benga
Chini Kwa chini si tutakwenda

Tuvume ka Jux na Vanessa
Kwenye media together tunatesa
254 si ndo kusema, weeeh

[Chorus]
Let me love you the African wayyy
Let me love you like an African lady
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African wayyy
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African wayyy

[Verse 2]
Hizi kukuru kakara, za nini sasa
Achana na wale wagomvi, wanoleta siasa
Niambie,nichangie, kama ni nyimbo nikuimbie
E zali talo makasi ya bolingo (ya bolingooo)

[Bridge]
Isiwe scandals kiWilly Pozee
Roho inakuuma njoo nikupoze
Tupendane ujanani pia uzee

Tuvume ka Jux na Vanessa
Kwenye media together tunatesa
254 si ndo kusema, weeeh

[Chorus]
Let me love you the African wayyy
Let me love you like an African lady
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African wayyy
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
The African wayyy

[Outro]
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papaaa

Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papa, unaniita mama
Nikuite papaaa