Nadia Mukami
Ikamate Hiyo
[Verse 1]
Tamu kama embe dodo,nitakupa mpaka uzirai
Hili penzi si la kitoto, utabaki umelikubali
Taratibu bwana mkunaji
Leo nashaky kiNicky Minaj

[Bridge]
Njoo niongezeee eh eh
Ikamate usilegeze eeh eh
Nauliza niongezee eh eh
Ikamate usilegeze eeh eh

[Chorus]
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama umeipenda ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
(Ikamate sana, ikamate hiyo)

[Verse 2]
Zama ndani gizani baba, mwiba kujitia huna pole
Wewe ni mustaarabu kaka, ikamate mpaka ipoe
Vile unacheki una marinate
I am your type and you can relate
Come lemme give you likkle taste
Later me and you participate

[Bridge]
Njoo niongezeee eh eh
Ikamate usilegeze eeh eh
Nauliza niongezee eh eh
Ikamate usilegeze eeh eh

[Chorus]
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama umeipenda ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
(Ikamate sana, ikamate hiyo)

Vile unacheki una marinate
I am your type and you can relate
Come lemme give you likkle taste
Later me and you participate

Njoo niongezeee eh eh
Ukitaka uikamate (yo yo yo yo yoo)
Ikamate hiyo, ikamate

[Chorus]
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama umeipenda ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
(Ikamate sana, ikamate hiyo)

[Outro]
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama umeipenda ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
Basi ikamate hiyo, ikamate ikamate
Kama unaitaka ikamate hiyo
(Ikamate sana, ikamate hiyo)
(Ikamate sana, ikamate hiyo)