Ethic Entertainment
Tarimbo
[Intro: Seska]
Ukiwa kokoko
Utaji sombombo
Ukiwa kokoko Utaji… (Motif di Don)

[Chorus Rekless]
Bas bas jo kama ana maringo
Mi hupenda chapa na tarimbo
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission

[Verse 1: SWAT]
Kanapenda kuziwasha ka kuna keroma
Venye kamebeba thutha kananikoroga
Pastor Ng’ang’a za sadaka atapeleka kwake
Sister sunday, sare mapara
Monday, kunidara dara kipara
Gizani kunigwara gwara kanjuang'a
Kuchapa kuchapa kuchapa ka kanga
Kupanga kumangwa kupangwa kumangwa

[Chorus: Rekless]
Bas bas jo kama ana maringo
Mi hupenda chapa na tarimbo
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission

[Verse 2: SESKA]
Mi siko kinenge na mi si Brayo
Anika kinembe na unimeze nayo
Baby shot anakuapa madabo
Kwela ni mahaga miguu meza inayo
Cover the face, destroy the base
Kamata les, and geuza straight
Hama de baze, namwaga otes
Mali kwa mali kiuwande base

[Chorus: Rekless]
Bas bas jo kama ana maringo
Mi hupenda chapa na tarimbo
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission

[Verse 3: ZILLA]
Toa mzinga unataka dungia Sara
Kama mzinga unakataa endea dawa
Nani walibaki wakipinga gava
Na si tuko zabe tunatumia dawa
Tunatumia dawa
Tutatumia dawa
Walitumia dawa
Wakatumia dawa

[Chorus: Rekless]
Bas bas jo kama ana maringo
Mi hupenda chapa na tarimbo
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission

[Chorus: Rekless]
Bas bas jo kama ana maringo
Mi hupenda chapa na tarimbo
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission(mmmh)
Bila hata permission
Mi huchapa chapa na nakanyaga
Namwaga bila hata permission

[Outro: Seska]
Ukiwa kokoko
Utaji sombombo
Ukiwa kokoko
Utaji sombombo