Ali Kiba
Huku
VERSE - (Tommy Flavour)
Juu yako kibudu nimedead, aah fanya utakavyo am ready aaah mh
Baby baby tuspend aah, Maisha yenyewe mafupi No dead line, aah Ooh

BRIDGE CHORUS
Huku nishike Huku, aah huku baby huku eeh
Huku Nishike Huku, huku baby huku


Instrumental Playing


VERSE - (Tommy Flavour)
We pisi kali hushindani na vikaragosi oooh oh vikaragosi
Usije ukanimwaga mwenzio ntalost ooh utanimaliza

BRIDGE CHORUS
Huku nishike Huku, aah huku baby huku eeh
Huku Nishike Huku, huku baby huku


Instrumental Playing


VERSE - (Alikiba)
Una hofu na Monalisa na Aisha, wakati we ndo unanimaliza
Unanimaliza aah, we ndo unanifaana ni fire aah
Ooh wale vikaragosi oooh
Wapi wapi wapi, wapi nishike huku
Wapi nishike huku
Wapi huku wapi nishike huku
Ooooh oh Lisarah Lisarah ooh nadi ana didiana, Oooh Unanimaliza

BRIDGE CHORUS
Huku, nishike huku, “(Shika huku)”
Huku, Baby huku, Huku, nishike huku, Huku
Baby huku


BRIDGE
Kata kidogo, nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo katoto ka model
Kata kidogo, nata na mikogo
Nataka kidogo
Kasweet kama jojo katoto ka model


OUTRO
Ooooh oh Lisarah Lisarah ooh nadi ana didiana, Oooh……………….!!!



Instrumental Playing



TheMix Killer