Ali Kiba
Let Me
(Yogo on the....)
Aah eeh umependeza sana
Wazidi kuniteka mzuri zaidi ya jana
Hata ungekuwa na kasoro tungefanana
Nimekupata wewe mapenzi ya rabana

Wala si utani nikipanga plan huendani
Shida ya shetani ya watume tuwaita furani
Hao punguani hawajui tu kiundani
Basi nikupe imani mbaya mie wako maishani

Mama yeah yeah, pasha
Bado movie ilo kasha
Nizalie na mapacha
Naomba usahau bubwaja

Let me say, chaguo langu ni-we wewe
Let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe
Niko tayari me oh, me oh, ooooh
Niko tayari me oh, me oh, eeeh
Niko tayari me oh, me oh, eeh
Niko tayari me oh
Niko tayari me oh, me oh, me ooooh

Oyoyoyo....
Ya Mungu ni mеngi
Sikudhani nitapata penzi nimependa wеngi
Nilikuwa uwanjani lakini nimevua jezi
Nikang'oa nanga kwenda Bongo nikafika Mbenzi
Nikuonyeshe

Aliye na macho haambiwi tazama
Yaani toto kaumbika kukukosa itakuwa lawama
Eh na palipo na nia pia pana njia
We ndo wangu malkia tena taji nishakuvisha

Ale mama yooo yooo (Washa)
Na mahaba yote (Washa)
Ni zawadi nimepata
Roho imelia mbwata

Aya yooo yooo (Washa)
Na mahaba yote (Washa)
Ni zawadi nimepata
Roho imelia mbwata

Let me say, chaguo langu ni-we wewe
Let me pray, nitakufa na wewe nitadedi na wewe
Niko tayari me oh, me oh, ooooh
Niko tayari me oh, me oh, eeeh
Niko tayari me oh, me oh, eeh
Niko tayari me oh
Niko tayari me oh, me oh, me ooooh