Ali Kiba
Usiniseme
Hey (yei ye yee 2x soniyee)
Ye (lolo lololo lilele 3x)
Alike (yolo lilele) baby girl
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula
(1)
Asi hivi juzi juzi Kulikuwa na shuguli
Utawa birika na simali Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga Pale pale kupiga mvunga
Watu wakajipanga Nikaanza kwa tonge na nyama
Jamani
Ninamatonge*4 Mpaka wakanifukuza
Nikasema sijali Nikatoa pesa mfukoni
Nikanunua mayai Nilijofuata watu wa wakai
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula
(2)
Ilikuwa juma pili Siku ya watu wenye ufahali
Kujirusha sehemu mbali mbali
Nami nikasema leo sikubali
Wacha niendee*4 Ila pesa sina natadani kali
Nikapita sokoni Nikaomba embe sokoni
Nikaelekea baharini Nikawaona wengi ufukweni
Hakika na embe jiutani Nakula ili watamani
Mate yalwaijaa mdomoni Wakaanza kuniomba
Msinisemee ah 4x Kwamba anapenda kula
Msinishangae 4x kwamba anapenda kula
Msinitengee 4x Kwamba anapenda kula