Otile Brown
Kistaarabu
Jinsi anavyo cheza nikama aninitega (no way)
Macho yake yenye mvuto nikama ananiita (no way)
Huo mdomo anavyo ung'ata pumzi inaniisha (no way)
Kiuno nazi nazi anavyo katika (no way)
Now she started blowing me kisses (Aaah)
Kaja Mwenyewe kasema
Hey Mr. would you hold my hands naomba nicheze na wewe
Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu)
Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu)
Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)
Ah sema mina mpango na wewe
Wala Usiwe na kiwewe
Hapa nkaja mwenyewe
Ila naomba niwe na wewe
Usiku kama huu nakuhitaji
Sijui ukaja na Nani Ila naomba uwe nami "
Uuh kumbe toto la kigogo, kigogo, Kigogo
Up town ila chapo mandondo, mandondo, mandondo
Kaanza kurukaruka tu kibobo, kibobo, kibobo
Nikasema " hey hey am a classic man
Niite mr gantleman
Mbona husle man
Tusije pakana jasho man
Nikasema " hey hey am a classic man
Niite mr gantleman
Mbona husle man
Tusije pakana jasho
Basi simama tucheze (kistaarabu kistaarabu)
Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu)
Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)
Mmh mmh marashi kwenye nyele zako
Harufu ya ngozi yako
Ina nipaga manjonjo
Nimejikoki sio kidogo

Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu)
Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu)
Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)
Simama tucheze (kistaarabu kistaarabu)
Nishike nikushike (kistaarabu kistaarabu)
Katu usiniache (kistaarabu kistaarabu)