Otile Brown
Niseme Nawe
Waniona nakuangalia
Na tayari ushajua kuwa naitaka, yo
Mimi ni mgeni huku na ata nilikotoka
Pia sijawahi ona kama yo
Nacho kiuno chako, unavyokizungusha roho yangu
Unairusha eh, unairusha oh mama
Mbona kuvava la mvuvi
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo udensi na mtoto mjini
Kuvava la mvuvi
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo na mtoto wa mjini
PRE-CHORUS:
Eti ukisonga nami ntasonga
Hutaki niguse, nayashakoma
Usiwe na wasiwasi ma
Mimi nitafuata na unavyofanya
Eti ukisonga nami ntasonga
Nami ukinipa pia sitakataa
Usiwe na wasiwasi ma
Mimi nitafuta unavyofanya
Mimi nataka nipakate 'si yake
Pakate 'si yake eh
Pakate 'si yake
Mpaka jua lichomoze
Ila sasa limetoka sitojua, eeh x2
Mimi na wewe, eh eh eh x2
Mimi nahisi kama kuna sababu tunakutana
Mbona tunalingana
Mambo mengi tunalingana nawe
Basi taratibu usinikanyage
Nguo yangu usiichane
Nia yangu sio mbaya
Ninacho omba n' nafasi nikujue
Ohh ohh
Haya mambo yanahitaji uzira ya maji marefu hauyawezi
Njoo udensi na mtoto wa mjini
Uvava na mvuvi
Haya mambo yanahitaji nyuza ya maji marefu, hauyawezi
Njoo udensi na mtoto wa mjini
PRE-CHORUS:
Eti ukisonga nami ntasonga
Hutaki niguse, nayashakoma
Usiwe na wasiwasi ma
Mimi nitafuata na unavyofanya
Eti ukisonga nami ntasonga
Nami ukinipa pia sitakataa
Usiwe na wasiwasi ma
Mimi nitafuta unavyofanya
[Mimi nataka nipakate 'si yake
Pakate 'si yake eh
Pakate 'si yake
Mpaka jua lichomoze
Ila sasa limetoka sitojua eeh] x2
Mimi na wewe eh ehe ehe x2
Eh nataka nikujue wewe
Mimi nataka n'kjue
Moyo wangu nikujue
Sikatae niugue we