Otile Brown
Leila
[Intro: Kidum & Otile Brown]
Oooh, yeah
Oh, oh, oh, yeah, yeah, allright

[Verse 1: Otile Brown & Kidum]
Anaye itaka, hapati
Alijaliwa akiithamini...
Iii-iii
Mmm
Hakika mwanamke akipenda kweli
Atapigana vita vingi, ainusuru penzi
Hivi unampendea nini?
Wakati kila kutwa ana kuliza
Unang'ang'ania nini?
Ni dhahiri subira heri itovuta
Wanaume wengine ni kama nguo nzuri, uki-try mwilini haikai
Hawamaanishi wasemacho, ni waongo hawafai
If I was your lover
Mmm
Ninge thamini penzi lako
Una stahili bora, mwanamke anahitaji matunzo

[Chorus: Otile Brown]
Leila
Leila (Woo, woo, woo)
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Aye
Leila
Leila (Oh, Leila)
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
[Verse 2: Otile Brown & Kidum]
Changu chako, chako changu mi nawe
Mi na wewe
Tena niache utoto 'kutwa kucha machangu, nikuoe
Nitakuwa shujaa wako nitakuliwaza
Nitakufariji mama, ukinihitaji, mama
Nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako, mama
Nitakuliwaza, mama
Nitakufariji, mama
Nipigie simu yangu
Nitakuwa shujaa wako, mama
Nitakuliwaza, mama
Nitakufariji, mama
Nipigie simu yangu

[Hook]
If I was your lover
Ningethamini pеnzi lako
Una stahili bora, mwanamke anahitaji matunzo

[Chorus: Otile Brown & Kidum]
Leila
Leila
Ungеkuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Leila
Leila
Leila (Eh!)
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
Oh
Ungekuwa wangu
Leila (Leila)
Leila (Oh)
Eeh!
Ungekuwa wangu ningekupenda ipasavyo
[Outro: Otile Brown & Kidum]
If I was with you, Leila
If I was with you, Leila
(?)
If I was with you
Ce (?)
If I was with you
Ningekupenda ipasavyo, my baby
Ce (?)
Ooh