Mbosso
Baikoko
[Intro]
Ayo, Lizer

[Verse 1: Mbosso]
Eh
Kako fine
Kila nikikaaga kwenye line
Bila bila
Shwaain
Kwake nimelewa kama wine
Tilalila
Ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana (gegeduu)
Nilivyo sina jizi
Tajiri wa mbegu
Namuhonga na mwana
Baba Mndenge, Mama Mzaramo
Uno lake la kurithi (ah ah eh)
Kafunga tenge mwali chakaramu
Shetani mwana ibirisi
Jipu (jipu)
Uchungu (uchungu)
Mwana nyuma umejeza kishundundu
Kwenye zipu (zipu)
Kuna kirungu (kirungu)
Usikamate utawaita wazungu
Eh hey
Babu mkuna nazi (mkuna nazi)
Kachutama kishinani
Na msuli wake ukowazi (ukowazi)
Mambo yote hadharani
[Hook: Diamond Platnumz]
Oh go go go go go
Mtoto anadaka Golikipa lunyamila
Wabeja
Tena akikata anautikisa msambwandila
(Mbrrokee)

[Chorus: Diamond Platnumz]
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)

[Post-Chorus: Mbosso]
Asa komеsha dengua, dengua
Baby dengua, dеngua
Ringa dengua, dengua
Deka dengua
Dengua wakuone

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Kananivua ndala miguu
Anataka nipite peku (peku peku)
Kunduchi juu
Anifikishe kwetu (kwetu kwetu)
Eh, utamu ladha ya kitumbua
Rojo ya embe kibada (kibada)
Hodari kunengua
Miuno ya ushubwada (ushubwada)
Nyuma kalisasambua
Kafungasha midabwada (bwada)
Anavyotafuna mua
Ka kibogoyo dada
Katoto kamelainika bwana (bwana)
Kukapa ndizi banana (na na)
Nakapeleka kwa mama (Mama, Mama Dangote)
Kama kuku twakimbizana (zana)
Kanaibuka kanazama (zama)
Kamwali kana balaa na Lana (Lana, Lana Kazote)
[Hook: Diamond Platnumz]
Ebo
Mtoto anadaka Golikipa lunyamila
Wabeja
Tena akikata anautikisa msambwandila
(Mbrrokee)

[Chorus: Diamond Platnumz]
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)
Baby, aje unanichezaga (baikoko)
Unavyo baby (baikoko)
Unavyo inyonga (baikoko)
Eh, waonyeshe (baikoko)

[Post-Chorus: Mbosso]
Asa komesha dengua, dengua
Baby dengua, dengua
Ringa dengua, dengua
Deka dengua
Dengua wakuone

[Bridge: Diamond Platnumz, Mbosso, Both]
Kama anaifata
Anainama
Anainuka mwali anaisusa
Kwa kujishebedua
Anainama
Anainuka mwali anaisusa
Kama hataki mwali
Anainama
Anainuka mwali anaisusa
Kwa madoidoi
Anainama
Anainuka mwali anaisusa
Mbrrokee
[Outro: Diamond Platnumz]
Ka mix Lizer
Wasafi...